Header Ads

]

Dondoo za afya J3 (HEALTH TIPS)

Natumaini u mzima WA afya. Mpenzi mfatiliaji wa gammaLOVE
Leo napenda kukupa machache ambayo ni mambo ya kawaida sana pengine umekua huyazingatii Kwasababu hujui kipi ni chema....  Leo Nakuletea mambo Matano  pata kujua usichokijua Ili kuimalisha afya yako

1:Usinywe dawa na Maji ya baridiiii 

2:Usile mlo maztito(nakushiba Sana)  baada ya saa kumi namoja jion
3:Muda mzuri WA kulala ni kuanzia saa nne usiku hadi saa kumi alfajiri
4:Usilale Mara baada ya Kula chakula (baada ya mlo)
5:Pendelea kupokea simu zako kwa Sikio LA kushoto 
6:kunywa Maji mengi asubuhi kuliko nyakati za usiku 

MWAMBIE NA MWENZIO 
(C) gammaLOVE 
THE LOVE OF HUMANITY 

No comments

Dr Mgasa Mhoja. Powered by Blogger.