Header Ads

]

Dokezo la Afya Leo Faida kiafya ya kucheza video games (health benefits of playing video games)


Mpenzi wa gammaLOVE . Leo tunakujuza usilolijua.Tafiti zinaoneshakua  kucheza video games hupunguza msongo wa mawazo na kuponguza maumivu ya mwili
Waulize wanaocheza  usikie majibu yao  anza nawewe kushawishika
gammaLOVE the love of humanity 

No comments

Dr Mgasa Mhoja. Powered by Blogger.