Header Ads

]

je,wajua waweza zuia kupata mimba mara baada ya tendo la ndoa kufanyika (EMERGENCY CONTRACEPTIVES)

Mpenzi wa gammaLOVE, ili kuendelea kukupa updates za kiafya  leo tumekuletea hili la uzazi wa mpango nakuimarisha afya yako tunazidi kukupa updates ambazo hutozipata kwingine kokote.

 kwa kawaida watu hutumia njia mbalimbali katika kulinda afya nauzazi wa mpango. lakini ajari kazini hutokea na kufanya watiu hawa kupata ujauzito (mimba zisizo tarajika) halihii huchangia madhara ya kisaikolojia, kwawa
husika hadi pengine husababisha watu kulazimika kufanya abortion (kutoa mimba) hali ambayo inaweza leta madhara kiafya, maambukizi, kupoteza damu hadi kifo, napia inaweza sababisha ugumba wakudumu.

 Awali nimesema sababu za mimba zisizo tarajiwa (bahat mbaya) ni kupasukwa kwa condomu kwati wa tendo,  kubadilika kwa majira ya mzunguko wa hedhi kwa mwanamke, kushindwa pizz nje ikiwa waliamua kutumia njiia hii hasa pale utamu unapowazidia napia KUBAKWA hii nayo nisababu.  hizi ni sababu chachetu za kumimba zabahat mbaya.



Huitaji kuhangaika mpaka kufikia uamuzi haramu wa kutoa mimba. gammaLOVE leo tunakupa suluhisho. kwajina la kitaalamu unaitwa EMERGENCY CONTRACEPTIVE ( UZAZI WA MPANGO WA DHARURA. huusisha vidonge levonorgestrel and (levonegestrel +ethinyl  esyradiol) pia kuna njia nyingine ntakueleza kiuzuri hapo chini

Njia hii nisalama kabisa wala sio haramu, nasisitiza si utoji wa mimba naomba ieleweke hivyo.

JINSI INAVYO FANYA KAZI. Aina hizi za dawa za asubuhi (morning pills) hufanya kazi kwa ubora wakati unapozichukua ndani ya masaa 72 (siku 3) baada ya ngono zisizozuiliwa aidha kutokana na mihemuko ya wapenzi,
kwakawaida ili mimba iweze kupatikana lazima kuwe na muunganiko wa gameti (mebu zakiume nambegu za kike)  sperm hutoka kwamanaume nakukutana na yai hapo ndipo utungaji wa mimba huanza kufanyika.
njia hizi za uzazi wampango wa dharura huzuia mbegu yakike na yakiume kukutana nakutunga mimba.  dawa hizi hutumiwa ndani ya siku tatu mara baada ya tendo landoa kufanyika.
1. Huzuia ovum kutoka kujiachia kwenye ovary...
2.Huzuia mbegu ya kiume kuifika mbegu ya kike (yai) kwa husababisha nabadiliko ya endometrium

3.Huathiri tubal motility

Kuna njia mbili za kuzuia ujauzito baada ya kujamiiana bila kuzuia:

Chaguo 1: Kupata ParaGard IUD ndani ya masaa 72 (siku 3) baada ya kufanya ngono pasipokujikinga. Hii ni aina ya ufanisi zaidi ya uzazi wa dharura.

Chaguo 2: Chukua kidonge cha dharura za uzazi (AKA baada ya kidonge) baada ya masaa72 (siku 3) baada ya kujamiiana bila kujinga. 
Kidonge kilicho na acetate ya ulipristal. Kuna brand moja tu, inayoitwa ELLA

Ikiwa unatumia uzazi wa dharura kwa usahihi baada ya kufanya ngono zisizokujikinga, inafanya uwezekano mdogo sana kwamba utapata Ujamzito.

Ikiwa unachukua EC emergency contraceptives  kwa kuwa umefanya makosa na udhibiti wako wa kuzaliwa kwa homoni, Mpango wa B (plan B) nibora pia tumia Kidonge na levonorgestrel.

Unaweza kununua dawa hizi za asubuhi baada ya kukabiliana na dawa  katika maduka mengi ya madawa ya muhimu


Aina hizi za dawa za asubuhi (morning pills)hufanya kazi bora wakati unapozichukua ndani ya masaa 72 (siku 3) baada ya ngono zisizozuiliwa, lakini unaweza kuzichukua hadi siku 5 baada.




(C)2018 imetolea na gammLOVE  THE LOVE OF HUMANITY.

kwa maoni naushhauri usiache kucomment




No comments

Dr Mgasa Mhoja. Powered by Blogger.