Header Ads

]

Je, wajua mazoezi yananayo weza ondoa tatizo la kufika kileleni mapema (sexual orgsim)

Natumaini kua kunatetesi ushawahi zisikia, leo gammaLOVE tunakudadavulia kinaga ubaga juu ya hili.
  Misuli inayohusika na kusimama kwa kiume na kuwahi kumaliza wakati wa tendo la kufanya mapenzi huitwa ”puboccugeous Muscle” maarufu inajulikana kama Pelvic Muscle. Misuli hii inapokuwa dhaifu,uwezo wa kusimamisha uume kwa muda mrefu na kuchelewa kukojoa wakati wa kufanya mapenzi huwa mdogo.tena mdogo sana.  (ndipo wasahili utasikia ety goli moja chali)

      watoto wadogo waenzi zetu walipokua wakicheza walikua wanashindana kurusha mkojo katika umbali flanii, hii ilikua ni njia nzuri ya kubaini uimara wa misuri na atakae shindwa kurusha umbali mref
u huyo alikua anamatatizo, nilikua sielewi tafsiri hii lakini leo niwasaidie kuelewa haya.

    kunamazoezi mbalimbali watu hua wanafanya lakini yafuatayo ni mazoezi yanayo lenga kuimarisha misuri ya uume mojakwamoja pia ni zoezi lenye uwezo wa kuongeza nguvu ya misuli ya uume ,linaloweza kuufanya uume kusimama kwa muda mrefu,bila kusinyaa wala kuchoka

Kufanya mazoezi: Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujenga tabia ya kufanya mazoezi ambayo husaidia kukujengea afya njema na kukupa mzunguko mzuri wa damu. Kama una mwili wenye afya basi inaweza kukusaidia kwa namna ya kifikra ambazo huchangia kwenye swala zima la kuwahi kufika kileleni. Hii hutokana na kuongeza kujiamini na kujihusudu JENGA TABIA YA KUFANYA MAZOEZI

ZOEZI LA KWANZA
Wataalam wa mambo ya mapenzi wamethibitisha zoezi la misuli ya uume liitwalo ”physiotherapy” ndiyo hurudisha uwezo wa nguvu za kiume za asili,zoezi hili halina madhara yoyote kiafya na linaweza kufanyika wakati wowote.

JINSI YA KUFANYA ZOEZI HILI
Ukiwa umekaa popote fanya zoezi hili asubuhi na jioni na hali ya kuwa hauna mkojo kabisa (yaani kojoa kwanza)


Ukiwa umekaa anza kujibinya kama mtu aliyebanwa na mkojo halafu choo kipo mbali,bana ili mkojo usikutoke kwa kukaza misuli hiyo ya sehemu nyeti,fanya mara 20>25 asubuhi na jioni kila unavyobana hesabu 3 mpaka 5 kisha unaachia,unabana tena hivyo hivyo.
unapokua ukikojoa usiuachilie mkojo wote bada achia kidogo tena unaubana kama sekunde 20 hv tena achia kidogo kisha bana. mara kwa mara fanya zoezi hili kila ukiwa unajisaidia haja ndogo.

FAIDA YA ZOEZI HILI
1.Husaidia mzunguko wa damu kuingia kwenye uume na kuufanya uume utanuke na kuwa mgumu zaidi

2. Misuli ya uume itakuwa imara na kuweza kuzuia shahawa na hivyo kukuwezesha kumridhisha mwenza wako kila mara

3. Litakuwezesha kujibana kila unapotaka kukojoa huwapo kwenye tendo la ndoa (usingoje mpaka utamu umezidi utashindwa) jibane kama unajizuia kukojoa mkojo wa kawaida lakini usikate kiuno wakati mwenzio anaendelea kutingisha nyonga.

Ikiwezekana hata fikra za utamu huo zihamishe kwa sekunde kadhaa mpaka hali hiyo ya kutaka kukojoa ikiondoka zirudishe fikra ili kuendelea na mwenzio kwa pamoja katika game hilo la kiutu uzima.

Kasi iendelee na utaendelea hivyo mpaka uhakikishe mwenzio amekojoa ,na anaweza kukojoa hata mara 3,yaani ukiridhika kuwa mwenzio ameridhika au ukiskia ile sauti “”inatoosha” ndyo sasa nawe ukojoe hapo mwenzio atapata raha zaidi.

ZOEZI LA PILI
Uinue juu na kuushusha uume wako,uchezeshe juu chini,chini juu mara 5 mpaka 10,fanya mara mbili tatu huku unapumzika kidogo,uwe unaminyaminya kidogo wakati huohuo unavuta hewa kwa pua na kuitoa kwa mdomo.
fanya zoezi hili mara kwa mara japo mara 3 kwa wiki linaweza kukusaidia kuimarisha misuli yako ya uume.

ZOEZI LA TATU
Ufanyaji wa tendo la ndoa mara kwa mara huimarisha moyo,ubongo na misuli ya uume ,wanasayansi wamelithibitisha hili kuwa ufanyaji wa mara kwa mara husaidia uume kupata nguvu(zipo tofauti kati ya uwezo wa mwanamme mwenye mke mmoja na mwenye wake wengi) 
sinamaana ndo uwe mcharuko. ni nadhariatu


Pumua vizuri na kikamilifu: Kiungo chochote cha mwili huhitaji nguvu kamili ili kufanya kazi na ndivyo ilivyo kwa habari ya viungo vya uzazi! Unapo pumua vizuri na kwa ukamilifu, kiungo hiki hupata nguvu za ziada. Mbinu mbalimbali za kupumua kama pranayama hujajwa kusaidia sana kujifunza jinsi ya kuzuia kufika kileleni  mapema. Baada ya kuinza tu (wakati wa tendo), jaribu kupumua kwa ufasaha ili mwili uweze kupata hisia kabla ya kuanza kufanya msuguano HII itaruhusu parasympathetic system kuwa vizuri ndopo mzungunko wadamu huwa viziri


MAANDALIZI YA HISIA
katika tendo hisia ndo kilakitu, kama ukiwa offmood hata unaweza usifike popote katika mchezo , pengine ukaishia goli mojatu ukastarehe mojakwa moja. usilazimishe hisia zisizo sahihi itakucost sana.
maoni yako niyamuhimu sana
(gammaLOVE 
the love of humanity)

No comments

Dr Mgasa Mhoja. Powered by Blogger.