Header Ads

]

Je, wajua stress husababisha MAJERAHA kukawia kupona? pata kujua na sababu nyingine.

katika muendelezo wa kutoa updates za afya leo gammaLOVE nimekuja na hili. kama ulikua hujui stress (msongo wa mawazo) nimoja ya sababu zinazo chelewesha majeraha kupona,
kwanza kabla ya kuendelea gammaLOVE inapenda ikupe tafsiri sahihi ya jeraha. jeraha ni kuharibiwa kwa tishu  ambako kume sababishwa na kukatwa, au kujeruhiwa kwa ngozi.

kabla ya kuendelea napenda nikwambie aina ya vidonda. hizi vidonda nikama ifuatavyo inavyo julikana kitaalam, Aberration, Contusion, Incision, laceration, yote haya ni majeraha.

 stress huzuia uponaji wa halaka katika dhima tatu zifuatazo.

1 Stress huathiri sehemu ya ubongoiitwayo hypothalamus.
stress kwakawaida huathiri sehemu ya ubongo iitwayo hypothalamas ndipo husababisha uzalishwaji mwingi wa cortiso (homoni za glucocoticoid )  hizi hormoni huzuia kutengenezwa kwa seli zinazo sababisha kuvimba(inflamatory cells) kwa eneo husika hivyo sasa kutakua hakuna seli zinazo fanya kidonda kupona.

2. Mfumo wa kisaikolojia.
Hapa stress husababisha mtafaruku wa kisaikolojia. ambazo hupelekea tabia za kuto kujali mambo, hivyo sasa hupelekea msongo mkubwa wa mawazo (depression)  au matumizi ya pombe nakuathiri swala la ulaji wa chakula. mambo haya husababisha kidonda kukawia kupona kutokana na urahisi wa vimelea vya magonjwa kuweza kushambulia kwenye jeraha.

3.stress huathiri mfumo wa fahamu (autonomic never system)
hapa hupelekea kwa kuzalishwa kwa kemikali zinazo husika na sympathrtic stimulation. ikiwepo noraepinephrine na epinephrine. ambazo husababisha na kuongeza kiwango cha sukari kwenye damu ndipo sasa  hupelekea sukari kuzidi na kusambazwa mpaka kwenye jeraha, sukari kwenye jeraha husababisha muvuto kwa wadudu nakuanza kushambulia jeraha. ( yani nikimaanisha hufanya kidonda kua hekalu la waddudu kukua kutokana na kuwepo kwa chakula)

Ili kidonda kiweze kupona kuna hatua ambazo nilazima izipitie, naikitokea shida katika hatua hata mija hapo ndio suala au tatizo la kukawia kupona kwa kidonda huonekana.

 HATUA ZA UPONYAJI WA KIDONDA,
Uponyaji wa Jeraha
• Kwa watu wazima, uponyaji bora wa jeraha unahusisha matukio yafuatayo:
• (1) hemostasis ya haraka;( KUZUIWA KWA DAMU KUGANDA)
• (2) kuvimba sehemu husika
• (3) tofauti ya seli ya mesenchymal, uenezi, na uhamiaji kwenye SEHEMU ya jeraha;
• (4) kutengenezeka kwa mishipa mipya ya damu inayofaa;(angiogenesis)
• (5) epithelialization (utengenezaji  ukuaji wa tishu epithelial juu ya jeraha uso); na
• (6) awali ya awali, kuunganisha kwa mchaniko, na kuunganishwa kwa collagen ili kutoa nguvu kwa tishu za uponyaji

mara baada ya jeraha kinachokamilika ni kuundwa kwa mishipa na colajen
Hatua ya kwanza ni kuzuia damu kuendelea kumwagika hii ni kwanjia  ya  kusinyaa kwa mishipa ya damu au kuganda kwa damu ndani ya milija.(vascular constriction au clot formation)

 Mara baada ya kutokwa na damu inadhibitiwa, seli za uchochezi huhamia kwenye jeraha (chemotaxis) na kukuza awamu ya uchochezi, ambayo inajulikana na kuingizwa kwa usawa wa
 neutrophils, macrophages, • lymphocytes.


Sababu za kuchelewa kuponya jeraha

1.• Umri
mtu mzee jeraha lake hukawia kupona hii nikwasababu ya kupungua kwa hormoni zinazo weza chochea kuzalishwa kwa cytokines. lakini ni rahisi kwa mtoto kupona jeraha kwaababu kuna hormoni ambazo zinachochea cytokine izalishwe hivyo hatua nyingine za uponaji huwahi kuendelea.

2.Homoni
homoni za Glucocorticoid hizi hutumika kuzuia kuvimba, hali hii husababisha seli zinazo husika na kuvimba zisi zalishwe hivyo basi inapelekea kuzuiwa kwa ukarabati wa kidondA.

3.MAGONJWA kama kisukari

4. Eneo ambapo kidonda kipo ( kunamaeneo ambayo huathiriwa na mienendo ya mwili ya kila siku kwa mfano magotini hivyo kidonda cha kwenye magoti huchelewa kupona kutokana na kuharibika kw tisue zinazo tengenezwa mara kwa mara.

5. ukubwa wa jeraha 9 jeraha kubwa hukawia kupona kuliko jeraha dogo.

6.maambukizi kama bacteria.




Usisite kutoa maono yako  Ili tuboreshe  huruma yetu (c) GAMMALOVE 2018

No comments

Dr Mgasa Mhoja. Powered by Blogger.